"Hamna"
"Imepungua sana"
"Chini"
"Nzuri"
"Thibitisha sasisho la kidhibiti cha mbali"
"Huenda kidhibiti cha mbali kitatenganishwa kwa muda wakati wa kusasisha."
"Endelea"
"Ghairi"
"Sasisho la kidhibiti cha mbali"
"Programu mpya inapatikana"
"Sasisho linapatikana"
"Kidhibiti cha mbali kimesasishwa"
"Imeshindwa kusasisha kidhibiti mbali"
"Tumekumbwa na hitilafu fulani wakati wa kusasisha kidhibiti chako cha mbali. Tafadhali jaribu tena."
"Tafadhali subiri"
"Oanisha tena kidhibiti chako cha mbali"
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Kiwango cha chaji kwenye betri"
"%1$d%%"
"Programu dhibiti"
"Anwani ya Bluetooth"
"Tafadhali badilisha betri yako"
"Chaji ya betri imepungua"
"Vifaa Vilivyounganishwa"
"Vidhibiti vya Mbali na Vifuasi"
"Sasisha kidhibiti chako cha mbali"
"Iko tayari kusakinisha"
"SASISHA"
"ONDOA"
"Chaji ya betri imepungua kwenye kidhibiti cha mbali"
"Badilisha betri hivi karibuni"
"Chaji ya betri imekaribia kuisha kwenye kidhibiti cha mbali"
"Badilisha betri hivi karibuni"
"Chaji ya betri imekwisha kwenye kidhibiti cha mbali"
"Badilisha betri ili utumie kidhibiti cha mbali"
"Ndiyo"
"La"
"Tenganisha na %1$s"
"Unganisha kwenye %1$s"
"Sahau %1$s"
"Badilisha jina la kifaa chako kilichounganishwa"
"HDMI-CEC"
"Washa HDMI-CEC"
"HDMI-CEC hukuwezesha kudhibiti na kuwasha au kuzima kiotomatiki vifaa vingine vinavyotumia HDMI-CEC ukitumia kidhibiti kimoja cha mbali.\n\nKumbuka: Hakikisha umewasha HDMI-CEC kwenye TV yako na vifaa vingine vya HDMI. Watengenezaji hutumia majina tofauti kurejelea HDMI-CEC, Kwa mfano:"
"Samsung: Anynet+\nLG: SimpLink\nSony: BRAVIA Sync\nPhilips: EasyLink\nSharp: Aquos Link"
"Weka mipangilio ya vitufe vya kidhibiti cha mbali"
"Dhibiti sauti, nishati, vifaa vya kuingiza data kwenye TV, spika na vipokea sauti na video"
"Kiasi cha chaji kwenye betri: %1$s"
"Vifuasi"
"Kidhibiti cha Mbali"
"Imeunganisha"
"Vilivyounganishwa awali"
"Oanisha kidhibiti cha mbali au kifuasi"
"Ondoa"
"Unganisha"
"Badilisha jina"
"Sahau"
"Imeunganishwa"
"Imetenganishwa"
"Kudhibiti kifaa"
"Unganisha kifaa kipya"
"Kabla hujaunganisha vifaa vipya vyenye Bluetooth, hakikisha vipo katika hali ya kuoanisha. Ili uunganishe %1$s, bonyeza na ushikilie %2$s + %3$s kwa sekunde 3."
"kidhibiti mbali cha Android TV"
"Vifaa vinavyopatikana"
"Inatafuta vifaa…"
"Hitilafu"
"Inaunganisha…"
"Imeunganishwa"
"Imeghairiwa"
"%1$s imeshindwa kuunganisha"
"%1$s imeunganishwa"
"%1$s imetenganishwa"