"Health Connect"
"Dhibiti uwezo wa programu kufikia data ya afya"
"Ruhusa na data"
"Dhibiti data za afya na siha kwenye simu yako na usimamie programu zinazoweza kuifikia"
"Data na ufikiaji"
"Aina zote"
"Angalia aina zote"
"Hakuna data"
"Ruhusa za programu"
"Dhibiti programu na ruhusa zako"
"Programu %1$s kati ya %2$s zinaweza kufikia"
"Programu %1$s zinaweza kufikia"
"Programu %1$s inaweza kufikia"
"Hamna"
"Maelezo ya kipengee"
"Ufikiaji wa hivi karibuni"
"Hakuna programu zilizofikia Health Connect hivi karibuni"
"Angalia ruhusa zote za ufikiaji za karibuni"
"Angalia ni programu zipi zilifikia data yako ndani ya saa 24 zilizopita"
"Leo"
"Jana"
"Imesoma: %s"
"Imeandika: %s"
", "
"Dhibiti ruhusa"
"Shughuli"
"shughuli"
"Vipimo vya mwili"
"vipimo vya mwili"
"Kulala"
"kulala"
"Vipimo muhimu"
"vipimo muhimu"
"Ufuatiliaji wa hedhi"
"ufuatiliaji wa hedhi"
"Lishe"
"lishe"
"Vinjari data"
"Dhibiti data"
"Hamisha data"
"Futa data yote"
"Huna data yoyote kwenye Health Connect"
"Data yako"
"Kipaumbele cha programu"
"Futa data ya %s"
"Programu zote"
"Zinazoweza kusoma %s"
"Zinazoweza kuandika %s"
"Programu zilizozimwa"
"Programu hizi haziwezi tena kuandika %s, lakini bado zina data iliyohifadhiwa kwenye Health Connect"
"Programu haziwezi tena kusoma au kuandika data ya %1$s na hakuna data ya %2$s iliyohifadhiwa kwenye Health Connect"
"Data hii inajumuisha maelezo kama vile muda uliotumia kufanya mazoezi, aina ya mazoezi, mizunguko, marudio, vipindi au mitindo ya kuogelea"
"Data hii inajumuisha maelezo kama vile hatua za kulala na vipindi vya kulala"
"Angalia data yote"
"Futa data hii"
"Health Connect"
"Ifikie data yako ya afya"
"Isome data ya kalori ulizotumia"
"Huruhusu programu kusoma data ya kalori ulizotumia"
"Kalori ulizotumia"
"kalori ulizotumia"
"Isome data ya kalori ulizotumia"
"Iandike data ya kalori ulizotumia"
"Mazoezi"
"mazoezi"
"Isome data ya mazoezi"
"Iandike data ya mazoezi"
"Njia ya mazoezi"
"njia ya mazoezi"
"Andika njia ya mazoezi"
"Soma njia ya mazoezi"
"Umbali"
"umbali"
"Isome data ya umbali"
"Iandike data ya umbali"
"Mwinuko uliofikia"
"mwinuko uliofikia"
"Isome data ya mwinuko uliofikia"
"Iandike data ya mwinuko uliofikia"
"Ghorofa ulizopanda"
"ghorofa ulizopanda"
"Isome data ya ghorofa ulizopanda"
"Iandike data ya ghorofa ulizopanda"
"Nishati"
"nishati"
"Isome data ya nishati"
"Iandike data ya nishati"
"Kasi"
"kasi"
"Isome data ya kasi"
"Iandike data ya kasi"
"Hatua"
"hatua"
"Isome hatua"
"Iandike hatua"
"Jumla ya kalori ulizotumia"
"jumla ya kalori ulizotumia"
"Isome jumla ya kalori ulizotumia"
"Iandike data ya jumla ya kalori ulizotumia"
"Kiwango cha juu zaidi kilichotumika cha VO2"
"Kiwango cha juu zaidi kilichotumika cha VO2"
"Isome data ya kiwango cha juu zaidi kilichotumika cha VO2"
"Iandike data ya kiwango cha juu zaidi kilichotumika cha VO2"
"Misukumo ya kiti cha magurudumu"
"misukumo ya kiti cha magurudumu"
"Isome data ya misukumo ya kiti cha magurudumu"
"Iandike data ya misukumo ya kiti cha magurudumu"
"Kiwango cha kawaida cha shughuli za ndani ya mwili"
"kiwango cha kawaida cha shughuli za ndani ya mwili"
"Isome data ya kiwango cha kawaida cha shughuli za ndani ya mwili"
"Iandike data ya kiwango cha kawaida cha shughuli za ndani ya mwili"
"Mafuta mwilini"
"mafuta mwilini"
"Isome data ya kiwango cha mafuta kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha mafuta kwenye mwili"
"Kiwango cha maji kwenye mwili"
"kiwango cha maji kwenye mwili"
"Isome data ya kiwango cha maji kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha maji kwenye mwili"
"Uzito wa mifupa"
"uzito wa mifupa"
"Isome data ya uzito wa mifupa"
"Iandike data ya uzito wa mifupa"
"Kimo"
"kimo"
"Isome data ya kimo"
"Iandike data ya kimo"
"Mzingo wa nyonga"
"mzingo wa nyonga"
"Isome data ya mzingo wa nyonga"
"Iandike data ya mzingo wa nyonga"
"Uzito wa mwili bila mafuta"
"uzito wa mwili bila mafuta"
"Isome data ya uzito wa mwili bila mafuta"
"Iandike data ya uzito wa mwili bila mafuta"
"Mzingo wa kiuno"
"mzingo wa kiuno"
"Isome data ya mzingo wa kiuno"
"Iandike data ya mzingo wa kiuno"
"Uzito"
"Uzito"
"Isome data ya uzito"
"Iandike data ya uzito"
"Ute wa mlango wa kizazi"
"ute wa mlango wa kizazi"
"Isome data ya ute wa mlango wa kizazi"
"Iandike data ya ute wa mlango wa kizazi"
"Kutokwa damu wakati wa mzunguko wa hedhi"
"kutokwa damu wakati wa mzunguko wa hedhi"
"Isome kutokwa damu wakati wa mzunguko wa hedhi"
"Iandike data ya kutokwa damu wakati wa mzunguko wa hedhi"
"Hedhi"
"hedhi"
"Isome data ya hedhi"
"Iandike data ya hedhi"
"Jaribio la yai kupevuka"
"jaribio la yai kupevuka"
"Isome data ya jaribio la yai kupevuka"
"Iandike data ya jaribio la yai kupevuka"
"Vitendo vya ngono"
"vitendo vya ngono"
"Isome data ya vitendo vya ngono"
"Iandike data ya vitendo vya ngono"
"Data ya matone"
"data ya matone"
"Isome data ya matone"
"Iandike data ya matone"
"Maji mwilini"
"kiwango cha maji kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha maji kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha maji kwenye mwili"
"Lishe"
"lishe"
"Isome data ya lishe"
"Iandike data ya lishe"
"Kulala"
"kulala"
"Isome data ya wakati umelala"
"Iandike data ya wakati umelala"
"Kiwango cha kawaida cha joto kwenye mwili"
"kiwango cha kawaida cha joto kwenye mwili"
"Isome data ya kiwango cha kawaida cha joto kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha kawaida cha joto kwenye mwili"
"Kiwango cha sukari kwenye damu"
"kiwango cha sukari kwenye damu"
"Isome data ya kiwango cha sukari kwenye damu"
"Iandike data ya kiwango cha sukari kwenye damu"
"Shinikizo la damu"
"shinikizo la damu"
"Isome data ya shinikizo la damu"
"Iandike data ya shinikizo la damu"
"Kiwango cha joto kwenye mwili"
"kiwango cha joto kwenye mwili"
"Isome data ya kiwango cha joto kwenye mwili"
"Iandike data ya kiwango cha joto kwenye mwili"
"Mapigo ya moyo"
"mapigo ya moyo"
"Isome data ya mapigo ya moyo"
"Iandike data ya mapigo ya moyo"
"Mabadiliko ya mapigo ya moyo"
"mabadiliko ya mapigo ya moyo"
"Isome data ya mabadiliko ya moyo"
"Iandike data ya mabadiliko ya mapigo ya moyo"
"Kiwango cha oksijeni"
"kiwango cha oksijeni"
"Isome data ya kiwango cha oksijeni"
"Iandike data ya kiwango cha oksijeni"
"Kiwango cha kupumua"
"kiwango cha kupumua"
"Isome data ya kiwango cha kupumua"
"Iandike data ya kiwango cha kupumua"
"Mapigo ya moyo ya kawaida"
"mapigo ya moyo ya kawaida"
"Isome data ya mapigo ya moyo ya kawaida"
"Iandike data ya mapigo ya moyo ya kawaida"
"Ruhusu “%1$s” isome"
"Ruhusu “%1$s” ili uandike"
"Ghairi"
"Ruhusu"
"Ruhusu zote"
"Usiruhusu"
"Chagua data unayotaka programu hii isome au iandike kwenye Health Connect"
"Iwapo utaipatia ruhusa ya kusoma, programu hii itaweza kusoma data mpya na data ya siku 30 zilizopita"
"Ungependa kuruhusu programu ya %1$s kufikia Health Connect?"
"Unaweza kupata maelezo ya jinsi %1$s inavyoshughulikia data katika %2$s ya msanidi programu"
"sera ya faragha"
"Ungependa kuondoa ruhusa zote?"
"Ondoa zote"
"%1$s haitaweza tena kusoma au kuandika data yoyote kutoka Health Connect.\n\nHali hii haitaathiri ruhusa zingine ambazo huenda programu hii inazo, kama vile mahali, kamera na maikrofoni."
"Futa pia data za %1$s kwenye Health Connect"
"Siku inayofuata"
"Siku iliyochaguliwa"
"Siku iliyotangulia"
"Hitilafu fulani imetokea. Tafadhali jaribu tena."
"Programu zenye ruhusa hii zinaweza kusoma na kuandika data yako ya afya na siha."
"Dhibiti programu zinazoweza kufikia data iliyohifadhiwa kwenye Health Connect. Gusa programu ili ukague data inayoweza kusoma au kuandika."
"Programu zilizoruhusiwa"
"Programu ambazo hazijaruhusiwa"
"Mipangilio na usaidizi"
"Ondoa ufikiaji kwa programu zote"
"Programu ina ruhusa ya kusoma"
"Programu ina ruhusa ya kuandika"
"Hakuna programu zilizoruhusiwa"
"Hakuna programu zilizozuiwa"
"Ungependa kuondoa ufikiaji kwenye programu zote?"
"Hakuna programu yako yoyote itakayoweza kufikia au kuweka data mpya kwenye Health Connect. Hatua hii haifuti data yoyote iliyopo.\n\nPia, haitaathiri ruhusa zingine ambazo programu hii inaweza kuwa nazo, kama vile ruhusa ya mahali, kamera au maikrofoni."
"Ondoa zote"
"Dhibiti programu"
"Futa data ya programu"
"Programu zilizozimwa"
"Programu hizi hazina tena ufikiaji, lakini bado zina data iliyohifadhiwa kwenye Health Connect"
"%1$s inaweza kusoma data iliyowekwa baada ya %2$s"
"Ili udhibiti ruhusa zingine za Android ambazo programu hii inaweza kufikia, nenda kwenye Mipangilio > Programu"
"Data unayoshiriki na programu ya %1$s inalindwa na sera yake ya faragha"
"Ili udhibiti ruhusa zingine za Android ambazo programu hii inaweza kufikia, nenda kwenye Mipangilio kisha uguse Programu"
"Soma sera ya faragha"
"Ilifikiwa katika saa 24 zilizopita"
"Ufikiaji wa programu"
"Kwa sasa hujasakinisha programu zozote zinazooana"
"Imeondoa ruhusa za programu"
"Health Connect imeondoa ruhusa za %s"
"Health Connect imeondoa ruhusa za %1$s na %2$s"
"Health Connect imeondoa ruhusa za %1$s, %2$s na %3$s"
"Health Connect imeondoa ruhusa za %1$s, %2$s, %3$s na programu nyinginezo"
"Angalia maelezo"
"Sababu zinazofanya Health Connect iondoe ruhusa za programu"
"Endapo programu imesimamishwa au kuondolewa kwenye Google Play, Health Connect huondoa ruhusa zake kiotomatiki.\n\nHatua hii inamaanisha kwamba programu haiwezi tena kufikia data iliyohifadhiwa kwenye Health Connect. Ikiwa programu hii ina data iliyorekodiwa hapo awali, itaonekana kwenye orodha ya programu ambazo hazitumiki."
"Nimeelewa"
"Anza Kutumia Health Connect"
"Health Connect huhifadhi data yako ya afya na siha, hivyo kukupatia njia rahisi ya kusawazisha programu tofauti kwenye simu yako"
"Shiriki data na programu zako"
"Chagua data ambayo kila programu inaweza kusoma na kuandika kwenye Health Connect"
"Dhibiti mipangilio na faragha yako"
"Badilisha ruhusa za programu na udhibiti data yako wakati wowote"
"Rudi nyuma"
"Anza"
"Futa data"
"Chagua data ya kufuta"
"Inayofuata"
"Hatua hii hufuta kabisa data yote iliyowekwa kwenye Health Connect katika kipindi cha muda ulichochagua"
"Hatua hii hufuta kabisa data yote ya %s iliyowekwa kwenye Health Connect katika kipindi cha muda ulichochagua"
"Hatua hii hufuta kabisa data yote ya %s iliyowekwa kwenye Health Connect katika kipindi cha muda ulichochagua"
"Hatua hii hufuta kabisa data yote ya %s iliyowekwa kwenye Health Connect katika kipindi cha muda ulichochagua"
"Futa data ya saa 24 zilizopita"
"Futa data ya siku 7 zilizopita"
"Futa data ya siku 30 zilizopita"
"Futa data yote"
"Ungependa kufuta kabisa data yote?"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya saa 24 zilizopita"
"Ungependa kufuta data yote ya siku 7 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya siku 30 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya %s?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya saa 24 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 7 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 30 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya %s?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya saa 24 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 7 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 30 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya %s?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya saa 24 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 7 zilizopita?"
"Ungependa kufuta kabisa data ya %s ya siku 30 zilizopita?"
"Pia, futa ruhusa zote za %s kwenye Health Connect"
"Ungependa kufuta kabisa data yote ya %1$s iliyowekwa na %2$s?"
"Ungependa kufuta kabisa data hii?"
"Programu zilizounganishwa hazitaweza tena kufikia data hii kutoka Health Connect"
"Hatua hii itafuta data yote ya hedhi kuanzia %1$s hadi %2$s."
"Futa"
"Rudi nyuma"
"Nimemaliza"
"Funga"
"Data imefutwa"
"Data hii haihifadhiwi tena kwenye Health Connect."
"Inafuta data yako"
"Imeshindwa kufuta data"
"Hitilafu fulani imetokea, Health Connect imeshindwa kufuta data yako"
"Jaribu tena"
"Inafuta data ya Health Connect"
"Inafuta data ya Health Connect"
"Kufuta data"
"Futa data"
"Futa data"
"Jumla: %s"
"{value,plural, =1{Wati 1}other{Wati #}}"
"{value,plural, =1{Wati 1}other{Wati #}}"
"{count,plural, =1{Hatua 1}other{Hatua #}}"
"{value,plural, =1{Hatua 1 kwa kila dakika}other{Hatua # kwa kila dakika}}"
"{value,plural, =1{Hatua 1 kwa kila dakika}other{Hatua # kwa kila dakika}}"
"{count,plural, =1{Bpm 1}other{Bpm #}}"
"{count,plural, =1{Pigo 1 kwa kila dakika}other{Mapigo # kwa kila dakika}}"
"{value,plural, =1{Maili 1 kwa saa}other{Maili # kwa saa}}"
"{value,plural, =1{Kilomita 1 kwa saa}other{Kilomita # kwa saa}}"
"{value,plural, =1{Maili 1 kwa saa}other{Maili # kwa saa}}"
"{value,plural, =1{Kilomita 1 kwa saa}other{Kilomita # kwa saa}}"
"kuanzia %1$s hadi %2$s"
"kuanzia %1$s hadi %2$s"
"{count,plural, =1{Msukumo 1 wa kiti cha magurudumu}other{Misukumo # ya kiti cha magurudumu}}"
"{count,plural, =1{Lita 1}other{Lita #}}"
"{count,plural, =1{Lita 1}other{Lita #}}"
"{count,plural, =1{Ghorofa 1}other{Ghorofa #}}"
"{count,plural, =1{Dak 1}other{Dak #}}"
"{count,plural, =1{Mita 1}other{Mita #}}"
"{count,plural, =1{Kupumua mara 1 kila dakika}other{Kupumua mara # kila dakika}}"
"{count,plural, =1{Mzungusho 1 kwa kila dakika}other{Mizungusho # kwa kila dakika}}"
"kuanzia %1$s hadi %2$s"
"Kinga ilitumika"
"Kinga haikutumika"
"Data ya matone"
"Data ya matone"
"Mtiririko mdogo wa damu"
"Mtiririko kiasi wa damu"
"Mtiririko mkubwa wa damu"
"Siku ya %1$d kati ya siku %2$d za hedhi"
"Yai limepevuka"
"Yai halijapevuka"
"Juu"
"Tokeo lenye shaka"
"{count,plural, =1{Milisekunde 1}other{Milisekunde #}}"
"{count,plural, =1{Milisekunde 1}other{Milisekunde #}}"
"{count,plural, =1{Urudiaji 1}other{Marudio #}}"
"{count,plural, =1{Urudiaji 1}other{Marudio #}}"
"Aina ya Mazoezi"
"Mizunguko"
"Kunyoosha mgongo"
"Mpira wa vinyoya"
"Mazoezi ya mabega kwa kuinua uzani"
"Besiboli"
"Mpira wa kikapu"
"Kuinua uzani ukilala chali"
"Kujiinua ukilala kwenye benchi"
"Kuendesha baiskeli"
"Kuendesha baiskeli isiyo sogea"
"Warsha ya mazoezi"
"Ndondi"
"Mazoezi ya Burpee"
"Mazoezi ya calisthenics"
"Kriketi"
"Mazoezi ya kuimarisha misuli ya fumbatio"
"Kucheza Densi"
"Kunyanyua uzani sakafuni"
"Kuviringisha chuma chenye uzito kwa mkono wa kushoto"
"Kuviringisha chuma chenye uzito kwa mkono wa kulia"
"Mazoezi ya kuinua chuma chenye uzito kwa mbele"
"Mazoezi ya kuinua chuma chenye uzito kwa upande"
"Kuinua chuma ili kujenga misuli ya mkono wa kushoto"
"Kuinua chuma ili kujenga misuli ya mkono wa kulia"
"Kuinua chuma ili kujenga misuli ya mikono miwili"
"Kifaa cha mazoezi kama kupanda ngazi"
"Darasa la mazoezi"
"Mchezo wa vitara"
"Soka ya Marekani"
"Soka ya Australia"
"Mchezo wa kujinyonga kwa mbele"
"Kutupa diski ya plastiki hewani"
"Gofu"
"Mazoezi ya kupumua"
"Sarakasi"
"Mpira wa Mikono"
"Mazoezi mazito kwa muda mahususi"
"Matembezi marefu"
"Mpira wa magongo kwenye theluji"
"Kuteleza kwenye theluji"
"Mazoezi ya kuruka"
"Kuruka kamba"
"Mazoezi ya kuvuta chini uzani"
"Kupiga goti na kuinuka tena"
"Sanaa ya vita"
"Kutafakari"
"Kupiga kasia"
"Kuruka kwa Miavuli"
"Kufanya mazoezi ya Pilates"
"Kuinua mwili kwa kiwiko"
"Kucheza raketiboli"
"Upandaji miamba ya mawe kutumia kamba"
"Hoki telezi"
"Kupiga Makasia"
"Kupiga makasia yasiyohamishika"
"Raga"
"Kukimbia"
"Kukimbia kwenye mashine isiyosogea"
"Uendeshaji Vyombo vya Baharini"
"Kupiga mbizi kwa vifaa vya kuvutia hewa"
"Kuteleza"
"Kuteleza Kwenye Skii"
"Kuteleza Kwenye Theluji kwa Ubao"
"Usafiri kwa viatu vya kutembea thelujini"
"Soka"
"Besiboli maalum"
"Skwashi"
"Mazoezi ya kuchuchumaa"
"Kupanda ngazi"
"Kifaa cha kupanda ngazi"
"Mazoezi ya kuongeza nguvu"
"Kujinyoosha"
"Kuteleza katika Mawimbi"
"Uogeleaji kwenye dimbwi wazi"
"Uogeleaji kwenye bwawa"
"Mtindo wa freestyle"
"Mtindo wa kuogolea kwa mgongo"
"Mtindo wa breaststroke"
"Kipepeo"
"Mseto"
"Nyinginezo"
"Tenisi ya mezani"
"Tenisi"
"Mchezo wa kujinyonga kwa juu"
"Voliboli"
"Kutembea"
"Polo ya majini"
"Kuinua uzani"
"Kuendesha kiti cha magurudumu"
"Mazoezi ya mwili"
"Yoga"
"Mazoezi ya kukunja mkono ukiwa umeshika uzito"
"Mazoezi ya kubamiza mpira"
"Mazoezi ya kutumia uzito kujenga misuli ya nyuma ya mikono miwili"
"Mazoezi ya kuinua chuma na mkono ukiwa umepinda mgongo"
"Mazoezi ya kuinua uzito kwa mbele"
"Mazoezi ya kutanua nyonga"
"Mazoezi ya kuzungusha pete kwenye eneo la nyonga"
"Mazoezi ya kubembeza chuma cha birika"
"Mazoezi ya kuinua uzito kwa upande"
"Mazoezi ya kukunja miguu ukiwa unasukuma uzito"
"Mazoezi ya kuinua uzito kwa miguu"
"Mazoezi ya kusukuma uzani kwa miguu"
"Mazoezi ya kuinua miguu"
"Mazoezi ya kuinua miguu kifuani ukiwa umeshika chini"
"Mazoezi ya kujivuta mwili mzima juu"
"Mazoezi ya kurusha ngumi"
"Mazoezi ya mabega ya kuinua uzani"
"Kutumia uzito kujenga misuli ya nyuma ya mkono mmoja"
"Mazoezi ya kuinua kiwiliwili ukiwa umelala chini"
"Pumziko"
"Simamisha"
"Soka ya Australia"
" %1$s ya kulala"
"%1$s %2$s"
"kuamka"
"kutolala ukiwa kitandani"
"kulala"
"nje ya kitanda"
"kupepesa macho usingizini (REM)"
"usingizi wa kawaida"
"usingizi mzito"
"haijulikani"
"Dak %1$s"
"Saa %1$s dak %2$s"
"Saa %1$s"
"%1$s %2$s"
"{count,plural, =1{Saa 1}other{Saa #}}"
"{count,plural, =1{Dakika 1}other{Dakika #}}"
"%1$s na %2$s"
"{count,plural, =1{Siku 1}other{Siku #}}"
"{value,plural, =1{Milimita 1 kwa (kg·dak)}other{Milimita # kwa (kg·dak)}}"
"{value,plural, =1{Mililita 1 ya oksijeni kwa kilogramu moja ya uzito wa kitu kwa dakika moja}other{Mililita # za oksijeni kwa kilogramu moja ya uzito wa kitu kwa dakika moja}}"
"Kikapu cha metaboliki"
"Uwiano wa mapigo ya moyo"
"Jaribio la Cooper"
"Jaribio la siha la hatua nyingi"
"Jaribio la siha la Rockport"
"Nyinginezo"
"Kavu"
"Unaonata"
"Kama maziwa"
"Majimaji"
"Ute mweupe"
"Hali isiyo ya kawaida"
"Mwepesi"
"Wastani"
"Mzito"
"mmHg %1$s/%2$s"
"Milimita %1$s/%2$s za zebaki"
"Ukiwa umesimama"
"Ukiwa umekaa"
"Ukiwa umelala chini"
"Ukiwa umejinyoosha"
"Kifundo cha mkono wa kushoto"
"Kifundo cha mkono wa kulia"
"Sehemu ya juu mkono wa kushoto"
"Sehemu ya juu mkono wa kulia"
"{count,plural, =1{Milimoli 1 kwa kila lita}other{Milimoli # kwa kila lita}}"
"{count,plural, =1{Milimoli 1 kwa kila lita}other{Milimoli # kwa kila lita}}"
"Ugiligili mwilini"
"Damu kwenye kapilari"
"Utegili"
"Majimaji ya damu"
"Machozi"
"Damu yote"
"Mchanganyiko"
"Kufunga"
"Kabla ya mlo"
"Baada ya mlo"
"Aina ya mlo"
"Haijulikani"
"Kiamsha kinywa"
"Chakula cha mchana"
"Chakula cha jioni"
"Kitafunwa"
"Biotin"
"Kafeini"
"Kalisi"
"Kloridi"
"Kolesteroli"
"Kromiamu"
"Shaba"
"Nyuzi za lishe"
"Nguvu"
"Nguvu inayotoka kwenye mafuta"
"Foleti"
"Asidi ya folic"
"Aidini"
"Chuma"
"Magnesi"
"manganizi"
"Molybdenamu"
"Mafuta mepesi kiasi"
"Niasini"
"Asidi pantotheni"
"Fosforasi"
"Mafuta majimaji"
"Potasiamu"
"Protini"
"Riboflauini"
"Mafuta yenye madhara kiasi mwilini"
"Saliniamu"
"Sodiamu"
"Sukari"
"Thiamini"
"Jumla ya kabohaidreti"
"Jumla ya mafuta"
"Mafuta yenye madhara makubwa mwilini"
"Mafuta mepesi"
"Vitamini A"
"Vitamini B12"
"Vitamini B6"
"Vitamini C"
"Vitamini D"
"Vitamini E"
"Vitamini K"
"Zinki"
"%1$s: %2$s"
"Jina"
"{count,plural, =1{Gramu 1}other{Gramu #}}"
"{count,plural, =1{Gramu 1}other{Gramu #}}"
"{count,plural, =1{Kupumua mara 1 kila dakika}other{Kupumua mara # kila dakika}}"
"{count,plural, =1{Pumzi 1 kwa kila dakika}other{Pumzi # kwa kila dakika}}"
"{count,plural, =1{Kilogramu 1}other{Kilogramu #}}"
"{count,plural, =1{Pauni 1}other{Pauni #}}"
"{count,plural, =1{Jiwe 1}other{Mawe #}}"
"{stone_part} {pound_part}"
"{count,plural, =1{Kilogramu 1}other{Kilogramu #}}"
"{count,plural, =1{Pauni 1}other{Pauni #}}"
"{count,plural, =1{Jiwe 1}other{Mawe #}}"
"{stone_part} {pound_part}"
"{value,plural, =1{1 ℃}other{# ℃}}"
"{value,plural, =1{Digrii Selisiasi 1}other{Digrii Selisiasi #}}"
"{value,plural, =1{Kelvin 1}other{Kelvin #}}"
"{value,plural, =1{Kelvin 1}other{Kelvin #}}"
"{value,plural, =1{Farenhaiti 1}other{Farenhaiti #}}"
"{value,plural, =1{Digrii 1 ya Farenhaiti}other{Digrii # ya Farenhaiti}}"
"Kwapa"
"Kidole"
"Paji la uso"
"Kinywa"
"Rektamu"
"Mshipa wa kichwa"
"Kidole cha mguu"
"Sikio"
"Kifundo cha mkono"
"Uke"
"{dist,plural, =1{Maili 1}other{Maili #}}"
"{dist,plural, =1{Km 1}other{Km #}}"
"{dist,plural, =1{Maili 1}other{Maili #}}"
"{dist,plural, =1{Kilomita 1}other{Kilomita #}}"
"{height,plural, =1{Sentimita 1}other{Sentimita #}}"
"{height,plural, =1{Sentimita 1}other{Sentimita #}}"
"{height,plural, =1{Inchi 1}other{Inchi #}}"
"{height,plural, =1{Futi 1}other{Futi #}}"
"{height,plural, =1{1″}other{#″}}"
"{height,plural, =1{1′}other{#′}}"
"%1$s%2$s"
"%1$s %2$s"
"{count,plural, =1{Kalori 1}other{Kalori #}}"
"{count,plural, =1{Kalori 1}other{Kalori #}}"
"{count,plural, =1{Kilojouli 1}other{Kilojouli #}}"
"{count,plural, =1{Kilojouli 1}other{Kilojouli #}}"
"{value,plural, =1{Asilimia 1}other{Asilimia #}}"
"{value,plural, =1{Asilimia 1}other{Asilimia #}}"
"Ghairi"
"Idadi"
"Panga vipimo vya data"
"Umbali"
"Kimo"
"Uzito"
"Nguvu"
"Halijoto"
"Kilomita"
"Maili"
"Sentimita"
"Futi na Inchi"
"Ratili"
"Kilogramu"
"Mawe"
"Kalori"
"Kilojuli"
"Selisiasi"
"Farenhaiti"
"Kelvin"
"Usaidizi na maoni"
"Ikiwa huoni programu iliyosakinishwa, huenda haifanyi kazi na programu ya Health Connect kwa sasa"
"Mambo unayoweza kujaribu"
"Angalia masasisho"
"Hakikisha kuwa programu ulizosakinisha zimesasishwa"
"Angalia programu zote oanifu"
"Tafuta programu kwenye Google Play"
"Tuma maoni"
"Tuambie ni programu ipi ya afya na mazoezi ambayo ungependa ifanye kazi na programu ya Health Connect"
"Duka la Google Play"
"Futa kiotomatiki"
"Futa kiotomatiki"
"Dhibiti muda ambao data yako inahifadhiwa kwenye Health Connect kwa kuratibu ifutwe baada ya muda ulioweka"
"Pata maelezo zaidi kuhusu kufuta kiotomatiki"
"Futa data kiotomatiki"
"{count,plural, =1{Baada ya mwezi #}other{Baada ya miezi #}}"
"Isifute kamwe"
"Umezima"
"Unapobadilisha mipangilio hii, Health Connect hufuta data iliyopo ili kuonyesha mapendeleo yako mapya"
"{count,plural, =1{Ungependa kufuta data kiotomatiki baada ya mwezi #?}other{Ungependa kufuta data kiotomatiki baada ya miezi #?}}"
"{count,plural, =1{Health Connect itafuta data mpya kiotomatiki baada ya mwezi #. Kuweka mipangilio hii pia kutafuta data iliyopo ya zaidi ya mwezi #.}other{Health Connect itafuta data mpya kiotomatiki baada ya miezi #. Kuweka mipangilio hii pia kutafuta data iliyopo ya zaidi ya miezi #.}}"
"Weka mipangilio ya kufuta kiotomatiki"
"Data iliyopo itafutwa"
"{count,plural, =1{Health Connect itafuta data yote iliyopo ya zaidi ya miezi #. Huenda ikachukua hadi siku moja kwa mabadiliko haya kuonekana kwenye programu zako zilizounganishwa.}other{Health Connect itafuta data yote iliyopo ya zaidi ya miezi #. Huenda ikachukua hadi siku moja kwa mabadiliko haya kuonekana kwenye programu zako zilizounganishwa.}}"
"Data itafutwa kwenye"
"Nimemaliza"
"Weka kipaumbele cha programu"
"Iwapo programu zaidi ya moja itaweka data ya %s, Health Connect itazipa kipaumbele programu zilizo juu kwenye orodha hii. Buruta programu ili uzipange tena."
"Hifadhi"
"Sogeza juu"
"Sogeza chini"
"Hamishia juu"
"Hamishia chini"
"siha, afya"
"ruhusa"
"health connect, data ya afya, aina ya afya, ufikiaji wa data, shughuli, vipimo vya mwili, ufuatiliaji wa hedhi, lishe, data ya usingizi, vipimo muhimu"
"Health Connect > Ruhusa za programu"
"Health Connect > Data na ufikiaji"
"Tafuta programu"
"Hakuna Matokeo"
"Usaidizi"
"Ungependa kuruhusu %1$s ifikie njia hii ya mazoezi kwenye programu ya Health Connect?"
"Programu hii itaweza kusoma mahali ulipokuwepo hapo awali kwenye njia"
"%1$s • %2$s"
"Njia za mazoezi zinajumuisha maelezo ya mahali"
"Nani anayeweza kuona data hii?"
"Programu unazoruhusu tu kufikia njia zako za mazoezi"
"Ninawezaje kudhibiti ufikiaji?"
"Unaweza kudhibiti ufikiaji wa njia za mazoezi wa programu katika mipangilio ya Health Connect"
"Nyuma"
"Inapakia…"
"Shughuli ya ujumuishaji inaendelea"
"Programu ya Health Connect inajumuishwa na mfumo wa Android.\n\nInaweza kuchukua muda wakati data na ruhusa zako zinahamishwa."
"Usifunge programu hadi upate arifa kwamba shughuli imekamilika."
"Programu ya Health Connect inaendelea kujumuishwa"
"Unahitaji kusasisha"
"Programu ya Health Connect inajumuishwa na mfumo wa Android ili uweze kuifikia moja kwa moja kupitia mipangilio yako."
"Sasisha"
"Anzisha sasisho hili ili programu ya Health Connect iweze kuendelee kujumuishwa na mipangilio ya mfumo wako"
"Sasisha sasa"
"Inahitaji sasisho la mfumo"
"Kabla ya kuendelea, sasisha mfumo wa simu yako."
"Ikiwa tayari umesasisha mfumo wa simu yako, jaribu kuzima kisha uwashe simu yako ili uendelee na shughuli ya ujumuishaji"
"Programu ya Health Connect inahitaji kusasishwa"
"Kabla ya kuendelea, sasisha programu ya Health Connect ili utumie toleo jipya zaidi."
"Nafasi zaidi inahitajika"
"Programu ya Health Connect inahitaji nafasi ya kuhifadhi ya %1$s kwenye simu yako ili shughuli ya ujumuishaji iendelee.\n\nFuta baadhi ya vipengee ili upate nafasi kwenye simu yako kisha ujaribu tena."
"Jaribu tena"
"Futa ili upate nafasi"
"Nafasi zaidi inahitajika"
"Programu ya Health Connect inahitaji nafasi ya kuhifadhi ya %1$s kwenye simu yako ili iendelee na shughuli ya ujumuishaji."
"Shughuli ya ujumuishaji imesitishwa"
"Programu ya Health Connect ilifungwa wakati ilikuwa inajumuishwa na mfumo wa Android.\n\nBofya endelea ili ufungue upya programu na uendelee kuhamisha data na ruhusa zako."
"Ili kuhifadhi data ya programu yako ya Health Connect, kamilisha shughuli hii ndani ya %1$s"
"Endelea"
"Shughuli ya ujumuishaji imesitishwa"
"Programu ya Health Connect inajumuishwa na mfumo wa Android. Gusa ili uendelee"
"Endelea na shughuli ya ujumuishaji"
"Gusa ili uendelee kujumuisha programu ya Health Connect na mfumo wa Android. Ili kuhifadhi data yako, kamilisha shughuli hii ndani ya %1$s"
"Gusa ili uendelee kujumuisha programu ya Health Connect na mfumo wa Android."
"Endelea"
"Endelea na shughuli ya ujumuishaji wa programu ya Health Connect"
"Ili kuhifadhi data yako, kamilisha shughuli hii ndani ya %1$s"
"Unahitaji kusasisha programu"
"%1$s inahitaji kusasishwa ili iendelee kufanya kazi na programu ya Health Connect"
"Baadhi ya programu zinahitaji kusasishwa ili ziendelee kufanya kazi na programu ya Health Connect"
"Angalia masasisho"
"Ujumuishaji wa programu ya Health Connect"
"Programu ya Health Connect iko tayari kujumuishwa na mfumo wako wa Android. Ukiipa %1$s uwezo wa kufikia sasa, baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi hadi shughuli ya ujumuishaji itakapokamilika."
"Programu ya Health Connect iko tayari kusawazishwa na mfumo wako wa Android. Ukiruhusu ufikiaji wa programu sasa, baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi hadi usawazishaji utakapokamilika."
"Endelea"
"Anzisha ujumuishaji"
"Programu ya Health Connect inaendelea kujumuishwa"
"Programu ya Health Connect inajumuishwa na mfumo wa Android.\n\nUtapata arifa mchakato utakapokamilika kisha unaweza kutumia %1$s na programu ya Health Connect."
"Programu ya Health Connect inasawazishwa na mfumo wa Android.\n\nUtapokea arifa mchakato ukikamilika kisha utaweza kutumia Health Connect."
"Nimeelewa"
"Shughuli ya ujumuishaji wa programu ya Health Connect haijakamilika"
"Utapata arifa itakapopatikana tena."
"Nimeelewa"
"Shughuli ya ujumuishaji wa programu ya Health Connect haijakamilika"
"Endelea kusoma"
"Programu ya Health Connect imemaliza kujumuishwa"
"Fungua"
"Mambo mapya"
"Sasa unaweza kufikia programu ya Health Connect moja kwa moja kupitia mipangilio yako. Ondoa programu ya Health Connect wakati wowote."
"Nimeelewa"